ZIARA YA MISS LAKE ZONE - barmedas.tv
Ma Miss Lake Zone wakiwa katika duka la IT barmedas duka linalouza vifaa mbali mbali, Ma Miss hao walitembelea Ofisi za barmedas na kujionea shughuli zinazofanywa na kituo hiki yakiwemo maduka ya kuuza simu aina za Samsung, Duka linalo uza vifaa mbali mbali kama vifaa vyote vya umeme, CCTV, Cable, Camera, na vifaa mbali mbali.
Wageni hao walivutiwa na ubora wa vifaa vinavyouzwa na Maduka hayo kwakuwa ni imara na ninafuu kulinganisha na maduka mengine.
Wageni hao walivutiwa na ubora wa vifaa vinavyouzwa na Maduka hayo kwakuwa ni imara na ninafuu kulinganisha na maduka mengine.


Comments
Post a Comment