JUBILEE MIAKA 21- barmedas.tv
Ask Mkuu wa Kanisa la AIC Mchungaji Silas Kezakubi, awafunda Vijana katika sherehe ya kuwekwa Wakfu Ask John Bunango na Kusimikwa kuwa Ask wa Dioces ya Mwanza baada ya nafasi hiyo kuachwa wazi na aliyekuwa Ask Daniel Nungwana aliyestaafu kwa hiyari.
" Vijana fanyeni kazi acheni kupoteza mda kutumiwa na wachache nguvu zenu kuziharibu kwa kufanya vurugu na hata kupiga mawe, badala ya nguvu zenu kutumika vizuri baadae munakuwa Watoto hatari" aliendelea kuwafunda Vijana.
Amani tuliyonayo ikipotea je tutakimbilia wapi,maana hakuna sehemu ya salama kila ukisikia kwa wenzetu pamechafuka je tutakimbilia wapi sisi jamani? aliwaomba wafanye kazi tene za halali waache tamaa za haraka haraka wanajiingiza kwenye dimbwi hata la uuzaji madawa ya kulevya, matokeo nikuishia pabaya.
Ask Kezakubi pia ni mkuu wa Dioces ya Tabora, na ndiye alikuwa akiilea Dioces ya Mwanza hadi jana alipokabidhiwa kijiti Ask John Bunango, Ask Kezakubi pia aliwaaga Wakristo kwa mda wote alipokuwa akiwalea ameshukuru sana kwa ushirikiano walioufanya na Dioces imekuwa na utulivu mkubwa sana " Sasa ninakukabidhi Dioces ya Mwanza ikiwa salama hivyo shika kijiti ukikimbize salaama" alimaliza.
Ask Kezakubi alikuwa akiwahutubia waumini na wasio waumini waliokuja kuhudhulia kushuhudia Kusimikwa kwa Mch John Bunango kuwa Ask wa Dioces ya Mwanza.

Comments
Post a Comment