GBP SUPER MARKET- barmedas.tv

GBP Ni duka la kuuza  vyakula vilivyo sindikwa kwenye vifaa maalumu kwaajili ya kukaa da mrefu pasipo kuharibika ( Super Market.

GBP Super market iko maeneo ya Igogo Barabara kuu unapoelekea Mkuyuni kabla hujafika  Mkuyuni utaona Bango linakuelezea Super market hii, na ukiingia ndani tu utakutana na  Screen na  ukiiangalia kwamakini utaona nembo ya barmedas kwani , haifichiki  hapo utaona taarifa mbali mbali za hapa katika Jiji la Mwanza , baadhi ya taarifa utakazo ziona ikiwa na ratiba za ndege, mabasi yaendayo Mikoani, Treni Meli, bei za Express, taarifa za Mazao ,hali ya hewa Nk.

Channel hii hujulikana MTG - Mwanza Tv Guide, ni channel kati ya channel nyingi ambazo barmedas inazo, channel hii imetenga maalumu kuwapa taarifa watazamaji wetu na wageni waingiao na kutoka katika Jiji hili la Mwanza ili kupata taarifa sahihi
hivyo msafiri huwa hapati preasure ya kuhangaika kuhaha kupata taarifa kwa haraka ahitajipo kufanya hivyo  kwa wakati huo atapata taarifa sahihi na kwa wakati mwafaka basi channel hii ni sahihi kwake ,  channel hii imefungwa maeneo yote yenye mukusanyiko wa watu na kwenye huduma za jamii.

 KWA KUPATA TAARIFA SAHIHI NA KWA KWA USAHIHI ANGALIA CHANNEL  MTG- barmedas


Comments

Popular Posts