MAFUNZO YA WANAHABARI-barmedas.tv

Mafunzo yatolewayo ni chuo cha Dar- es Salaam Institute and Mass Communication Capus ya Mwanza  kwa Waandishi wa Habari walioonza mafunzo yao hivi karibuni, yanaendelea kushamiri na kuonyesha mbinu mpya katika uandishi wa habari za uchunguzi na makala wanazofundishwa na walimu mahiri waliobobea katika fani hiyo, wanafunzi hao wanakiri kile wanachojifunza kitawafanya kubadirika na kuwa na  uweredi mkubwa  za kiuandishi ikiwa ni pamoja na upigaji wa picha wa kihabari zaidi.

Mafunzo hayo  kwa awamu ya kwanza yatachukua Takribani miezi 3,  yatawafanya waandishi wa habari hao kuwa na uwezo mkubwa kwa uandishi kwa mbinu wanazo zipata kutoka kwa   walimu wao.

Picha zinasomeka Mmoja kati ya walimu wazuri katika ufundishaji waliotoka chuo  kikuu cha Dar-es Salaam Insititue and Mass Communication Cumpus ya Mwanza akiwa  darasani majira ya jioni akifundisha somo la FEATURE WRITING AND PHOTO JOURNALISM,

Akiwakumbusha waandishi hao wa habari waliojiunga na chuo hicho cha uandishi wa habari, , Mwl Barazaduka  ambaye ni mtaalamu wa masomo hayo mawili ambayo ni muhimu sana katika uandishi wa habari  katika , Feature Writing-Uandishi wa Makala na Photo journalism- upigaji wa picha mnato pia  picha mujongeo yaani Video hivyo Mwalimu anawahakikishia  waandishi hao mara baada  ya kumaliza mafunzo  hayo , watakuwa wanacheza  sehemu kubwa katika uandishi wa habari na watakuwa na mbinu mpya za kiuandishi wa habari hivyo,  waandishi hao kufanya kazi kwa uweredi mkubwa na mpana katika Nyanja hiyo na wanafunzi wakimusikiliza mwalimu kwa makini zaidi.





 kuiwajibikia Jamii.

Comments