MTG CHANNEL-barmedas.tv

Unapo fika kwenye Super Market ya U-turn utakuta Wateja wengi wakiwa waneshikilia vikapu vikubwa na wengine vidogo hiyo, inaashilia kila mtu na uwezo wake katika kuchukua mahitaji kulingana na uhitaji wake.

Eneo hili ni maarufu haswa hujazwa na watu wagenii ambao hufika kujihudumia kwa kupata mahitaji wengine hupenda kuchukua maahitaji ya week wengine hata ya Mwezi, kwa vile bidhaa yote huwa imesindikwa kwenye makopo Chupa na mifuko maalumu yakutunzia ili isiharibike, na Super Market hii inapakana kabisa na Mlima wa Machemba ama Makao makuu ya Mkuu wa Mkoa.

barmedas tumeweka Screen zetu za kuonyesha taarifa moto moto za kibiashara kuwafanya wateja waliokuja kununua  bidhaa waweze kupata habari moto moto za kibiashara kutokana na Channel  yetu ambayo hutoa taarifa hizo.

Channel ya  Mwanza Tv Guide ndiyo huwapa watazamaji wetu taarifa moto moto za kibiashara, endelea kutazama MTG kwani " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata"






Comments

Popular Posts