MTG CHANNEL-barmedas.tv

Screen zilizopo hapo Pizeria huwafanmya wateja waliokuja kujipatia chakula na vinywaji kuweza kufuatilia taarifa za matangazo ambazo hutolewa na MTG Channel
imekuwa msaada mkubwa kwa wageni na wakazi wanaokuwa wakija hapo kwa ajili ya kujipatia vyakula vya asili mbavyo hutolea na kituo hiki kilicho jirani kabisa na Hotel ya Mwanza.
Endelea kutazama barmedas " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata


Comments

Popular Posts