MWANZA TV GUIDE CHANNEL-barmedas.tv

Hospital ya Agakhan iliyoko Mtaa wa Miti mirefu , Hutoa huduma za kiafya na kwa wakazi wa Mwanza wanaijua hakika  Agakhan ni Hospital ya zamani na inahudumia Watu wa aina mbali mbali.

barmedas tuliona nivyema huduma yetu ya MTG tuiweke pia hapo Hospital ya Agakhan ili wagonjwa wanaposubiri huduma waweze kuangalia taarifa mbali mbali za Biashara zitolewazo na Channel hii ya Mwanza Tv Guide, na hakika watu wameshukuru huduma hii kwani inawapa nafasi ya kujua taarifa za kibiashara na ratiba za usafiri ndani ya  Jiji la Mwanza.

Comments

Popular Posts