MWANZA CITY COUNCIL- barmedas.tv
Ofisi za Jiji la Mwanza, huwa panamakusanyiko wa watu mbali mbali ambao hufika kwa ajili ya kazi maalum, sehemu hii mda wote inamsongamano wa Watu i pia, utakuta kuna misululu ya Watu wanaosubiri kuingia katika ofisi husika.
barmedas wameweka Screen hapo kwenye lango kuu lakuingia ndani ya ofisi mbali mbali, kuna Screen 3 zilizofungwa hapo pande zote 3 na kila Screen imewekewa Channel tofauti i ili kuwafanya watazamaji waweze kuangalia vipindi na matangazo yenye taarifa pia za kibiashara , Channel hiyo YA MATANGAZO NA TAARIFA ZA KIBIASHARA ni MTG ( Mwanza TV Guide).
Watu hufurahia sana kutazama Channels zilizopo hapo kwa kujipatia taarifa ,mbali mbali, lakini pia mikutano ya ODC hurushwa LIVE na barmedas kutoka hapo kwenye Ukumbi wa Mikutano huwafanya watu kuona mikutano hiyo LIVE wakiwa hapo hivyo mpango huu wa kuweka huduma kama hizi pia kwenye makusanyiko ya Watu, imeungwa mkono na wengi na hivyo kudhihirisha kauli mbiu ya barmedas kuwa " SISI TUNATANGULIA, NA WENGINE WANAFUATA"

Comments
Post a Comment