PRINCESS ANNE- barmeads.tv

Baada ya Mgeni Princess Anne kuwasili alikwenda kwenye chiumba cha wageni Maalumu kabla ya kupanda gari kuelekea Jijini  Mwanza, aliongea na wenyeji wake kwa mda takribani dakika 30 hivi, alikuwa pia akiangalia Screen zilizofungwa za barmedas kama zinavyoonekana zilikuwa zikitoa taarifa ya  biashara katika Jiji la Mwanza channel ya MTG ukweli ilidhihilisha  umuhimu pia wa huduma hii hasa kwa wageni waingiao na kutoka kwa kupata taarifa sahihi zinazohusu safari pia.

Picha haapo juu chini zinaonyesha Princess Anne akiongea na wenyeji wake, mara baada ya kutua katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa- Mwanza.



Comments

Popular Posts