PRINCESS ANNE- barmedas.tv

Princess Anne akiongea na wenyeji wake kama inavyoonekana katika Picha baada ya kutua katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Ask Mussa Magwesella na Katibu wake Mkuu Mch Samwel Limbe wakiwa sambamba na viongozi wengine waliohudhulia katika uwanja huo, kwa mapokezi ya mgeni huyo anaye toka katika familia ya Kifalme ya Uingreza.





Comments

Popular Posts