PRINCESS ANNE-barmedas.tv

Mbali na kukabidhi Mv Jublee Hope pia Princess Anne alipata nafasi ya kuitembelea Mv Victoria na
pia kuikagua kabla ya kumaliza ziara yake.

Princess Anne alikuja rasmi kwa ajili ya kukabidhi Meli ya  Mv Jublee Hope ambayo imetolea msaada na familia hiyo ya Kifalme na itatumika kutoa matibabu kwa visiwa vyote  vilivyoko katika ziwa Victoria na AICT Geita ndio watakao imiliki Meli hiyo.

Mv Victoria ilitolewa na familia ya Malkia   kwa huduma ya usafiri, kwa Watu wanao kaa  Kanda ya ziwa wanaweza kuungana nami kuwa Meli hii imefanya kazi kubwa katika huduma za usafiri Kanda ya ziwa wanafunzi waliokuwa wakitoka Mikoani wakisoma shule kama , Kahororo, Ihungo, na zingine nyingi walisafiri sana na Meli hii ambayo imefikisha  miongo kadhaa tangia ianze kutoa huduma Kanda hii ya ziwa..




Comments

Popular Posts