PRINCESS ANNE IN MWANZA- barmedas.tv

Royal Highness princess Anne akiwa ametua katika uwanja wa Ndege Mwanza na kupokewa na viongozi waliokuwepo hapo uwanjani, pia akiambatana na Barozi wa Uingreza Nchini Tanzania pia na viongozi wengine waandamizi kutoka Nchini Wingreza.
Akisalimiana na wenyeji wake Ask Mussa Magwesella,katibu Mkuu AICT Geita Mch Samwel Limbe, pia Mkuu wa Jeshi la Police Mkoa wa Mwanza Kamanda Valentino Mulowola na viongozi wa Chama , Serkali pasipo kuwasahau viongozi wa dini kwani ugeni huu u...
See More





Comments

Popular Posts