REGGAE MUSIC-barmedas.tv

Kipndi cha Reggae  hurushwa Live na kituo cha  barmedas.tv ,  wapenzi wengi  wa kipindi hiki hupata fursa kuomba muziki wa reggae na kupigiwa na mtangazaji wa kipindi hicho Ras Augustino.

Pichani mtangazaji wa kipindi hicho akiwa akiendesha kipindi hicho Live na pia akielezea Historia ya Reggae , Waasisi na Chimbuko la Muziki huo.

Comments

Popular Posts