WAKFU-barmedas.tv
maaskofu wakisoma mistari kutoka katika Biblia , wakati Ask John Bunango Nditti alipowekwa Wakfu hatimae kusimikwa kuwa Askfu wa Dioces ya Mwanza .
sherehe hizi zilifanyika katika uwanja wa CCM KIRUMBA, shershe zilizoshuhudiwa na maelfu ya waumini waliofika kushuhudia tendo hilo, wakitoka maeneo mbali mbali hapa Nchini.


Comments
Post a Comment