JIJI LA MWANZA-barmedas.tv

Wageni karibuni Jiji la Mwanza muone Tunu tulizopendelewa na Mungu kama ziwa victoria, mawe mazuri ya Dhahabu na Samaki watamu zao la Ziwa Victoria.

Oia tuna Hotel nzuri zilizojengwa majengo mazuri na pia Barabara za Jiji hili ni nzuri na zenye kuvutia- Njoo ujionee  Jiji letu zuri la Mwanza- KARIBU SANA.








Comments