TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN
Biashara Ndugu yetu ni matangazo , usipojitangaza ama kutangaza biashara yako itachukua mda na wala huenda usieleweke unafanya nini , ndivyo na sisi tunatangaza shughuli zetu tuzifanyazo pia kukupa maelekezo tunapatikana wapi .
Tumesimika nguzo Jiji la Mwanza na vitongoji vyake jumla 12,000 na Nguzo hizo zina vibao vilivyotundikwa kama picha inavyoonyesha vikiwa na mawasiliano ya ofisi kwa ujumla hivyo kwa huduma mbali mbali za Matangazo, taarifa mbali mbali, angali kwebye vibao hivyo na wasiliana unataka barmedas ikufanyie nini! KARIBU SANA

Comments
Post a Comment