WANAMZIKI NGULI-barmedas.tv
WAKUTANA ANA KWA ANA
Wanamziki Nguli Mwl Sokoro na Faustin Munishi walipokutana, katika Ofisi za barmedas.tv zilizoko Mtaa wa Bantu mengi waliongelea kuhusu Mziki wa Injili na Muziki kwa Ujumla.
Mwl Sokoro na Faustin Munishi ni wanamziki wakongwe lakini pia ni watu wameitumia taaluma hii pia kuelimisha jamii lakini pia ni waalimu katika fani hii kwani wameisomea kwa kina, ikiwa ni utumiaji wa Ala, sauti, Mashairi na upangaji wa Jukwaa ( Stage Management)
Walikutana Mwanza Baada ya Mwimbaji huyu Faustini Munishi Mwanamziki ambaye pia amejikita kwa mbali kama mwana Siasa ni Mtanzania lakini pia anaishi Nairobi- Kenya , kwa sasa ana Makanisa yake akiwa kama Bishop.

Comments
Post a Comment