KARIBU MWANZA-barmdas.tv

JIJI LETU LA MWANZA.
Njoo ujionee Madhali nzuri na milima yenye mawe ya kuvutia njoo upande Milima yenye mawe na miamba ya kuvutia, pia utaona Samaki watamu kama Sato, Kamongo, Kambare mamba,Mbofu na kadhalika, Samaki watamu zao la Ziwa Victoria.

Wageni mwakaibishwa mje mtembelee Jiji letu la Mwanza, usalama ni wauhakika pia wenyeji ni wakarimu na wanawapenda wageni. "WAGENI KARIBUNI MWANZA"

Comments

Popular Posts