MTG CHANNEL-barmedas.tv

MWANZA TV GUIDE CHANNEL.
Ukifika katika majengo haya ya Jiji utazikuta Screen zetu tulizoziweka hapo na screen hizi ukiziangalia utaona zikitoa taarifa mbali mbali za matangazo, ya kibiashara , kijamii michezo hata utamaduni, lakini channel hii inahusika na kutoa taarifa za kibiashara.
Channel hii, inapatikana na kutazamwa na watu wengi , kwenye Mahotel yote, Baadhi ya Hospital,Nyumba za kulala wageni, Airport, Pizzaria , maduka ya Vyakula (Super market) Maduka ya Madawa na Migahawa kote tumeweka huduma zetu za MTG Channel.





Comments

Popular Posts