SHEKH SULULU SALUMU-barmedas.tv
Shekh Sululu Salum kiongozi wa Msikoti wa Shamsia ukioko Kirumba, akipiga na Mwenyeji wake Mwl Sokoro.
Shekh Sululu pia huwa na kipindi cha kioo cha Uislam ambacho hufanyika kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 10:00 jioni katika kituo cha barmedas.tv kipindi huwa cha saa 1, huzungumzia mambo mengi yanayohusu maisha ya Mwanadamu Kiroho na wageni mbali mbali wa kidini hukaribishwa katika kipindi hicho.
Shekh Sululu Mada aliyokuwa kailenga ni kuwa na mshikamano watu wote pasipokufanya Itikadi yoyote na aliendelea kuwaasa Watu wawe na Upendo pia kudumisha AMANI alisema "pasipo Amani wewe muumini pasipo Amani je utasali? hakuna aluomba aana katika Khutuba yake ya Ijiumaa kupitia kituo cha barmedas.tv.
- Get link
- X
- Other Apps




Comments
Post a Comment