TAZAMA MTG CHANNEL- barmedas.tv

Tumeweka Channel ya MTG katika  maduka ya vyakula ( Super Market karibu yote yaliyoko katika Jiji la Mwanza, na huzitangaza Supermarket hizo katika  Channel hii, lete matangazo  tuweze kukutangazia  biashara yako hasa katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani Watu huenda kununua Bidhaa kwa ajili ya kuandaa Futari pia na maandalizi ya Daku.
Watu wamefurahia huduma zetu haswa zitolewazo na Channel hii ya MTG ( Mwanza Tv Guide) 
tunazo Channel nyingi ambazo hutoa huduma mbali mbali na vipindi mbali mbali na katika Channel zote hizo MTG ni channel tuliyoitenga pekee kwa ajili ya kupata habari moto moto za kibiashara.







Comments

Popular Posts