TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN

Tunatazama barmedas,.tv Campaign.
Tunayo sasa mikakati ya kuongeza huduma kuwafikia watu wengi kutokana na mahitaji ya Watu wengi kuhitaji huduma zetu, Nguzo tulizoweka awali 12,000 Jiji la Mwanza na vitongoji vyake sasa mahitaji yameongezeka hivyo tunategemea tena kuongeza nguzo ili kukidhi haja ya wahitaji.

Vibao ambavyo tumevitundika juu ya Nguzo vinaelekeza wazi unaweza kupata maelekezo na mawasiliano yapo hapo, kila nguzo yetu inamawasiliano kibao chenye anuani kamili wasiliana nasi kwa kupitia mawasiliano yaliyo hapo kwenye kibao kama inavyoonekana picha hapo chini. —
 —





Comments

Popular Posts