TAZAMA MTG-barmedas.tv
mfungo wa Ramadhani , umekamilika watu wanalmiminika majira ya jioni kwenda kwenye maduka ya Supermarket kununua Bidhaa mbali mbali, kwa ajili ya kusherehekea Eid el Fitri wengine wanafurahia kuangalia Tv zetu zenye Channel ya MTG kwani channel hii hutoa matangazo ya biashara , lete matangazo yako kipindi hiki tukutangazie katika Channel yetu ya MTG






Comments
Post a Comment