JEMBEKA -barmedas.tv

 Jembeka festival  lililofanyika hivi karibuni Mwezi uliopita May 2015 lilionyweshwa live kutoka CCM Kirumba Mwanza. waliweza kutazama kwenye simu zao za mkononi, Lap top  kwa kupiga www.barmedas.tv,  tunaendelea kuonyesha vipindi mbali mbali na matukio moto moto yanayojitokeza katika Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, Mikutano ya Dini ( Crusades) Mikutano mbali mbali ya Kiselikali, Sikukuu na shrehe mbali mbali na Hata michezo ya Mipira na michezo mbali mbali.

Endelea kututazana kwa  kuttafuta www.barmedas.tv " Sisi tunatangulia na wengine , wanafuata"
Watu walifurika siku hiyo kuona Jembeka ikiwa imekusanya Wanamuziki ukuki na wenye majina makubwa katika Tasinia hiyo ya Muziki.

Nyimbo mbali mbali kutoka kwa Wanamuziki hao ziliwakuna Watazamaji na washabiki wa Muziki waliofika siku hiyo ambao Tamasha hilo la aina yake lilianza saa 2:00  usiku mpaka Majogoo barmedas.tv walikuwa sambamba  kuonyesha T6amasha hilo LIVE.





Comments

Popular Posts