IBADA ZETU SDA -barmedas.tv
Makanisani kesho watamwimbia na kumutukuza Mungu , Kwaya zitaimba kwa kulitukuza jinale Mungu wetu, siku ya leo Duniani kote Kanisa la Waadventist watamtukuza Mungu kwa Ibada pia Kwaya zinatumia mda mwingi kuliita Jina la Mungu kwa kumwimbia na kutoa sauti nzuri, hivyo tunasema kuwa njooni tumwimbie Bwana Mungu kwa vinubi na Zeze tukilisifu Jina lake Mungu na tumfanyie shangwe Mwamba wa Wokovu wetu.
Lakini tusisahau kumuomba Mungu aendelee kutupa Amani na utulivu Nchi yetu ya Tanzania, tunapoelekea kipindi hiki cha uchaguzi tuliite Jina la Mungu wetu ili tuweze kuwa na Amani na mshikamano ili Mungu ajiinue na kulitukuza jina lake.

Comments
Post a Comment