IBADA ZETU-barmedas.tv
Mchungaji Charles Mabisa awaasa waumini wake kuchagua jambo jema.
Akitoa mfano wa Martha na Mariam wakati mmoja aliketi miguuni pa Mungu na kumusikiliza lakini mwingine akishughulisha
Mariam alikaa na Yesu na kumusikiliza lakini Martha alikuwa busy akihangaika kwa kuuhudumia za mwili huu.
Wapo watu kwa sasa wanakuwa busy kweli kweli hadi kumusahau Mungu wake.
Akiwahubiri Waumini takribani ya 600 wakiokuwa wakimusikiliza aliwaasa katika maisha yetu tujitahidi kumtafuta Mungu na kumusikikiza anachotuambia.


Comments
Post a Comment