KIFO CHA MTIKILA-barmedas.tv
MCHNGAJI MTIKILA AFARIK DUNIA.
Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party Dp Nchini Tanzania Mchungaji Mtikila amefariki Dunia Alfajiri kuamkia siku ya Jumapili , kifo chake kimehusishwa na ajali ya gari ikiyotokea kwenye kijiji cha Msolwa Chalinze Mkoani Pwani.
Mchungaji Christopha Mtikila amepatwa na ajali akitokea Njombe, Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Jafari Ibrahim alithibitisha kifo hicho.
Watu 3 waliokuwa wameambatana nae waliokuwa katika gari hilo walikimbizwa kupata matibabu.


Comments
Post a Comment