KINGUNGE -barmedas.tv
KINGUNGE AONDOKA CCM.
Kada wa siku nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru
Kada wa siku nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake leo jijini Dar es Salaam Kingunge amesema, hatajiunga na chama chochote cha siasa “lakini kuanzia sasa mimi sio mwanachama wa CCM,” amesema.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, neno ‘mabadiliko’ lilitawala kinywa chake huku akionya kuwa, nguvu ya kupinga mabadiliko ni kubwa.
“Nguvu ya kupinga mabadiliko ni kubwa sana lakini kwa utafiti wangu mimi mzee ni kuwa, mabadiriko lazima yaje"


Comments
Post a Comment