MAGUFULI AZIDI KUPAA-barmedas tv
Mgombea urais kupitia Chama cha mapinduzi, aonnesha kuwa anaweza kujiweka vyema kama ataendelea kujipatia kura nyingi kwenye majimbo mbali mbali kama anavyojipatia sasa, wapiga kura wake na wanachama wa chana cha CCM wanamuangalia kuwa Mungu akiendelea kumutumaini kama katika kampeni zake alivyokuwa kuwa Mungu anamtegemea sana katika kampeni zake, akifanikiwa kuwa Rais hatawaangusha inaanza kuonekana kwa taswira baada ya kuendelea kujipatia kura nyingi katika majimbo mbali mbali yanayoendelea kura zilizopigwa kuobekana akijipatia ushindi hilo linabaki pale mtu mwemye mamlaka kutangaza rasmi japo zoezi la kuhesabu kura linategemewa kukamilika tarehe 29 October 2015 kwa Mjibu wa Mwenyekiti msimamizi wa Uchaguzi mkuu Mshindi ambaye ndiye atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatangazwa baada ya majimbo yote yaliyobaki kutangazwa hesabu zake na kura kujumuishwa ndipo atajulikana na kutangazwa rasimi .
Zoezi la kumuapisha litatangazwa na Sehemu husika ndipo Tanzania itakuwa imempata Rais wa 5 kihalali nlkwakufuata taratibu kwa kila Rais kutawala miaka 10 ndipo anampisha Rais mwingine ambaye nae atapitia michakato hii hii kama katiba haitapendekeza kitu kingine.
Utamaduni huu uneleta sifa na mifano thabiti ambayo Nchi zingine nyingi zinajifunza kutoka kwetu kuendelea kutatua matatizo yetu wenyewe na kufanya kila kitu kwa Amani na utulivu.
Hakika uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na msisimko wa aina yake haswa wagombea hawa wawili Mh John Pombe Magufuli na Mh Edward Lowassa kuendelea kuchuana vikali kila mmoja akijivunia ngome zake kwa kujizolea kura nyingi na hivyo kuwaweka roho juu juu wafuasi wao kwa kukaa na kusikiliza kwa makini sana.
Comments
Post a Comment