MWIMBIENI BWANA-barmedas.tv

Waimbaji wa AICT Makongoro Kwaya wakiwa wamejumuika na wenzao  Police Administration kutoka Kenya wakifanya Crusade kubwa na Watu wengi waliponywa na walishuhudia Jinsi gani Askari  wanavyoweza kumtangaza Mungu kwa bidii na maarifa.

AICT Makongoro Kwaya walifanya ziara Nchini Kenya na hatimae kufanya Mkutano mkubwa uliokuwa umeandaliwa na Askari na Makanisa yaliyo na umoja kwaajili ya kumutangaza Mungu, na mkubwa kama huo hufanyika kila Mwaka na AICT Makongoro huhudhulia  miktano hiyo  Mwaka 2016 utafanyika Mwanza na Askari hao wahubiri watakuwa wageni wa Mkutano huo ambao utaandaliwa na Makongoro kwaya wakishirikiana na Kamati ya Injili ya Kanisa la Makongoro.

Kwaya mbali mbali kutoka katika Jiji la Mwanza zinategemewa kuhudhulia Mkutano huo pia, wahubiri wa Kimataifa watakuwepo kwenye Mkutano huo, mkutano huo utakuwa wa week 1, na utarushwa moja kwa moja Live nakituo cha utangazaji cha barmedas.tv



Comments

Popular Posts