Watu wakivutiwa na kituko kilichojitokeza katika Jiji la Mwanza baada ya kijana ambaye hakujulikana Jina lake kujitupa toka juu ya Munara wa Simu nia yake ajiue , hali ambayo haikuwa vile, sasa anapata matibabu katika Hospital ya sekotoure.
Comments
Post a Comment