Usiku wa Twanga Pepeta, ulikuwa usiku mwanana ukisherehekeshwa na Band Kongwe Super Kamanyola wenyeji wa mkesha huo, show nzima ilirushwa na wazee wa Live Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata barmedas.tv HD.
Comments
Post a Comment