Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serkali Ikulu Jijini Da - es - Salaam.
Picha chini Rais Magufuli akimpongeza mara baada ya kumuapisha Mdemu na akimtakia Afya njema ya kutekeleza majukumu aliyopatiwa sasa.
Comments
Post a Comment