Dahua Polisi Na Jamii. Live barmedas.tv HD Sheria kwa Waendesha Pikipiki na Waenda kwa Miguu


Polisi na Kamii ni Kipindi cha Jamii na Jeshi la Polisi hutoa taarifa au kuelimisha Jamii Live ndani ya barmedas.tv HD
Polisi Jamii ni Kila Ijumaa Saa 1 hadi 2 jioni. Edmund Ruter ndio Host wa Kipindi hiki na Mada Kuu leo ni SHERIA KWA WAENDESHA PIKIPIKINA WAENDA KWA MIGUU. Akiwepo na Ass. Insp. Fransis Masag
Kutama kipindi hii kokote ulipo Live kwa njia ya smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments