Lake Zone Beats Live on barmedas.tv HD
Lake Zone Beats Live on barmedas.tv HD
Lake Zone Beats ni program inayo saidia Wasanii wano chipukia katika Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa Ujumla. Lake Zone Beats ni Live na Wasanii mbalimbali hufika katika Studio zetu Live na Kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa watazami kwa njian ya Simu ikiwa iko Live.
Host wa Kipindi hii ni Joyce
Kila Juma nne - Alkhamis
Saa 1 Jioni
Unaweza kutazama Kipindi hii Live popote ulipo kwa njia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv
Comments
Post a Comment