Mapishi Kipindi ndani ya barmedas.tv HD
Mapishi Kipindi ndani ya barmedas.tv HD
Mapishi ni Kipindi kikuijiapo ndani ya barmedas.tv HD kila Jumatano na Jumapili saa Sita na Nusu Mchana. Ni Kipindi cha mafunzo mbalimbali au aina na jinsi ya kupika vyakula vya Kiswahili mpaka Ulimwenguni.
Kutazama Kipindi hiki Live popote ulipo kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv
Comments
Post a Comment