KANISA LA GILGAL. PASIANSI-barmedas.tv

Mchungaji na pia ndiye mwangalizi wa Kanisa la Gilgal ambalo liko Pasiansi
Akielezea wasifa wa marehemu Eliya ambaye alivamiwa na watu wasiojulikana kwa kumukatakata mapanga na hatimae na kumuua na wenzake aliokuwa nao walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hosipital ya Bugando.

Comments