KIPINDI CHA NANI -barmedas.tv

NANI ZAIDI ni kipindi kinachowaijia kila siku ya Jumatatu kuanzia saa3:00 hadi saa 4:00 kipindi hiki huwakutanisha wanamziki na kuwapambanisha ili kupata
nani anafanya vema.
Leo tarehe 28.10.2013,Washindani walikuwa MUZIKI WA
ZAMANI NA WA SASA UPI BORA?MAJIBU, Muziki wa zamani ndo ulipata ushindi.
Mtangazaji Samiyat Said akitangaza kipindi hicho Live.

Comments