KKKT IMANI CATHEDRAL-barmedastv

KKKT IMANI CATHEDRAL Kanisa lililoko barabara ya Mission unapoelekea
Uwanja wa Ndege,tarehe 27.10.2013. Ibada ya I inayoanza saa 1:00 asubuhi
itarushwa Live na kituo cha barmeadas.tv watazamaji wetu mtakao shindwa kuhudhulia Ibada hiyo ,mutaweza kuingalia kwenye mitandao yetu watazamaji wa Mwanza,Arusha pia na Dar mutaweza kuona Ibada hii kupitia Channel za HeaveN na barmedas.tv lakini pia Online kwa kutafuta ,www.barmedas.tv wenye
simu za smartphone,Desktop,Laptop,ip nk unaweza kutupata Live.
KARIBUNI SANA NDUGU WAPENDWA KUTAZAMA IBADA HIYO LIVE.
KUTOKA KANISA LA KIJNJILI LA KILUTHEL IMANI CATHEDRAL.-MWANZA.

Comments