MAUAJI YAKUTATANISHA-barmedas.tv

Watu wasiojulikana waliingia kanisani na kuwakuta watu wakisali humo ndani katika Kanisa la Gilgal International Worship Center
liliko Pasiansi linalohudumiwa na Ask Sentoz.
Watu hao, waliingia ndani ya Kanisa majira ya saa 7 usiku na kuwakuta waumini wakisali(wakiomba)kama ilivyo ada kwa makanisa mengi watu hujiweka wakfu kwa kumwomva Mungu lakini wengine
huwa wanamahitaji ya kuomba ili Mungu aweze kuyafanikisha maombi yao haswa hutumia mda huo wa usiku.

Majira kama hayo wakristo walipokuwa katika kuomba,ghafla watu  waliingia Kanisani na kuanza kuwa shambulia waumini hao. kwa kuwakata kata. kwa Mapsnga nakupekekea kusababisha kifo cha mmoja aliyejulikana kwa jina la ELIYA MESHACK  LUMWAMILA -pia ndiye alikuwa mwenyekiti wa vijana wa Kanisa hilo la Gilgal,watu hao waliokuwa na mapanga waliendelea kuwakata kata waumini wengine ambao walikuwa wakisali na marehemu kupelekea kupatamajerahamakubwa ambapo walikimbizwa Hospital na kutibiwaMungu aliwanusuru walitibiwa na  waliruhusiwa na kurudi nyumbani wataendelea kutibu maheraha wakiwa nyumbani kwani hali yao inaendelea kuimalika idadi yao ni 2.

Kesho tarehe 23.10.2013 kutakuwa na Ibada ya
maombi yakiambatana na kuga mwili wa marehemu Eliya Meshaka ambao baadae utasafirishwa kwenda Kigoma kwa Mazishi, na kwa mujibu wa msemaji wa familia Ibada hiyo itaanza majira ya saa 4:00 asubuhi. Barmedas.tv tutajumuika na waombolezaji kwa kuwaletea ibada hiyo ,hivyo msikose kutune tv zenu kwenye Channel ya HeaveN na barmedas.tv na watu wa Dar na Arusha mutaweza kuona matangazo hayo kupitia luninga yetu lakini www.barmedas.tv walio na
Simu za Smartphone,Desktop,Laptop,IP nazingine unaweza kutupata moja kwa moja.
tafafhari tufuatane katika msiba huu kuwa nasi" BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINALAKE LIBARIKIWE"

Comments