MWIMBIENI BWANA BAND COMPITITION-barmedas.tv

Mchuano mkubwa kesho itakazozikutanisaha Band 2 zinazoimba. Nyimbo zainjili kesho
zitakutana kwenye Kipindi vha Mwimbieni Bwana kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni.
Mtazamaji wetu tazama kipindi hiki hapa hapa barmedas.tv ama www.barmedas.tv wenye simu dmartphone,ip,Desktop,Laptop nk
unaweza kukiona kipindi hiki moja moja lakini pia watazamaji wetu walioko Dar na Arusha pia munaweza kukitazama kipindi waliojiunga na mtando wetu.

Comments