MWIMBIENI BWANA BAND VOMPITITION-barmedas.tv

Membieni Bwana Band Compitition yampata mshindi baada ya SHILO BAND kuinika kws kura 8 dhidi ya mpinzani wake kura 1
Kiongozi wa Shilo Band yule mrefu aliye mkono wa kulia wa mtangazaji wa Kipindi hicho alipoulizwa na Agness Mabondo kwanini amepata kura nyingi kuliko mpinzani wake?alisema"Mungu ni mwema lakini sote tumechuana vyema" na aliwashukuru sana watazamaji wa barmedas.tv kwa kumpigia kura nyingi hii imeonyesha jinsi gani wanavyomkubali lakini pia alizimwaga sifa kwa kituo cha barmedas kwa kuanzisha kipindi hiki ambacho kutaleta chachu na joto kwa Waimbaji wa nyimbo za Injili kwa kujipima je kazi zao zinaonekanaje kwa walaji lakini pia mshindi wake yeye alishukuru kwa kusema amejua wapi atafanya ili kujifua zaidi diku akirudi tena studio,atzfnya vizuri zaidi.
  Mshindi atapata nafasi kuwa mgeni wa barmedas ambapo atapata nafasi ya  kutembelea ofisi za barmedas kama mgeni wa week kwa kutembezwa.
   Week ijayo washindani wengine wanajifua
sasa ili waingie studio.

Comments