NYUMBANI KWA MAREHEMUbarmedas.tv

Hapo ni nyumbani kwa Marehem Eliya aliyeuawa usiku wa kuamkia jana kwa kuvamiwa na watu wasiojulikana kupelekea kumuua kwa kumpiga na kitu chenye ncha.kali akiwa na wenzake pia kushambuliwa nakupata majeraha mwili mzima wawili walitibiwa na kuruhusiwa kutoka Hospitali na kurudi nyumbani

Comments