QASWIDAR LIVE PROGRAM-barmedas.tv

Qaswidar Live program,kipindi kitakacho waijia leo siku ya Ijumaa tarehe 25.10.2013 kuanzia saa 6:00-7:00 Mchana hapa hapa barmedas.
  Kipindi hiki ni fursa kwa Waislam kuomba nyimbo za Qaswidar na kupigiwa Live katika
kikundi cha Arhahman kutoka Butimba Madrasa ndio watakao kuwa wakipiga Qaswida katika kipindi hicho.
  Tafadhari usikose kukitazama kipindi hicho
Live.

Comments