SOKORO MUSIC THEATRE LIVE-barmedas.tv

Mwl Sokoro ndani ya kipindi cha kuonyesha uwezo wa kucheza Piano kipindi kinacho waijia kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 3:00 Usiku hadi saa 4:00 usiku hapa hapa barmedas.tv
USIKOSE KUKITAZAMA LIVE PIA OMBA WIMBO WOWOTE KUTOKA HYMN NA UTACHEZEWA LIVE.

Comments