Ajali ya pikipiki jijini Mwanza leo

Ajali mbaya iliotekea asubuhi majira ya saa 4 maeneo ya barabara ya Nyerere jirani na mtaa wa Makorobo Jijini Mwanza. Ikimuhusisha mwendesha pikipiki na abiria wake baada  Ya kugonga semi traler, abiria alifariki hapo hapo na dereva kupata  majeraha.
Repoti kutoka barmedas.tv

Comments