AICT AKINAMAMA WAFANYA SHHOTING-barmedas.tv

AICT Akina Mama Makongoro Kwaya waanza shooting wa Video, ni furaha kubwa na faraja kuona akina Mama haw kurekodi Mkanda waVideo  ambao itakuwa ni kumbu kumbu yao.

Kutokana na Umuri wao walionao akina Mama hawa, ni daraja nyimbo  zao kuziweka kwenye Picha ili kizazi kizacho kiweze kushuhudia Kazi zao hata kama wao hawapo ama wamepumuzika kuimba.

Kunawaimbaji wengi walikuwa wakiimba katika Kwaya hiyo wakiwa sasa ni marehemu na hawajaacha kumbu kumbun yoyote ya picha akiwemo Mwalimu wao Mkuu Marehemu Mama Mch Mashauri ambaye amefariki miaka mu=inne iliyopita na nyimbo zake nyingi wanaendelea kuimba Kwaya hii na nyingi ndizo wanaenda kuzifanyia shooting, sauti na mashairi yatajulikana na yatabaki  kumbu kumbu kwake mama huyu lakini kizazi kijacho,  hakitaweza kuona moja kwamoja sura yake kwenye Mkanda huu labda , kuonana na familia yake na kuomba picha zilizopigwa enzi za uhai wake na ndipo waone sura yake.

USHAURI: Watafute picha zake waweke hata baadhi ya Picha ili ,  iwe kumbukumbu, natumaini ushauri huu wataufanyia kazi.  HOONGEREENI AKINA MAMA NYIMBO ZENU KUZIWEKA KWENYE VIDEO.

Comments