AUGUST 31 , 2014-barmedas.tv

Droo kabambe yenye zawadi kemu kemu itachezwa tarehe 31, August 2014 katika studio za barmedas.tv Live.
Ungali unanafasi ya kuendelea kujipatia Vocha kwa wingi iwezekanavyo ili, siku hiyo usikose zawadi zitakazotolewa kwa washindi , soma maelezo zaidi.

Comments