HASHIKOME -barmedas.tv

CHANNEL YA HASHIKOME YAZINDULIWA.
Siku ya jumanne tarehe 1 July 3014 katika viwanja vya Makumbusho Bujora , kutafanyika tendo la kihistoria la kufanya Historia na Matendo yaliyokuwa yakifanywa kipindi kilichopita  na wazee walipoikuwa wanasiri gani katika moto uliokuwa ukiwashwa majira ya jioni ? Mzee na vijana wake  kukaa kwa kuuzunguka moto huo pia ilikuwa ni mda muafaka Mzee kuanza kupanga shughuli za kesho na naagizo mengine ya Kifamilia hapo ,  na utekelezaji wake ulikuwa wa ufanisi mkubwa na ulizingatiwa pasipokukiukwa tofauti kubwa na sasa.
Tendo hilo litafanyika kwa Watemi watakao kuwepo hapo , Bujora na  baadae kutazibduliwa channel ya HASHIKOME na kituo cha barmedas.tv channel itakayohusika sana na masuala ya kitamaduni na mila zake hasa Makabila ya Kanda ya ziwa.

Comments