KARIBU MWANZA-barmedas.tv


 
Kipindi cha Karibu Mwanza kilipowakaribisha waandaaji wa Mahotel Mkoa wa Mwanza,
Mwl Sokoro akiwa na wageni wake katika kipindi cha KARIBU MWANZA walipofika katika kituo cha barmedas.tv Mwaka jana 2013 kipindi hurushwa kuanzia saa 3:00 Usiku hadi saa 4:00 Usiku kila siku ya Jumatano , katika kituo cha barmedas.tv kilichoko hapa - Mwanza.

Comments